News and Events

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Mwakilishi wa Balozi wa Sweden atembelea Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Read More

Ofisi ya Taifa ya ukaguzi yafanya kikao kazi na wadau mbalimbali wa sheria mkoani - Singida

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi inaendesha kikao kikao kazi juu ya matumizi ya Nyaraka za Ukaguzi katika uchunguzi na uendeshaji wa mashauri Mahakamani yanayowashirikisha wataalamu kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi,…

Read More

Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bw. Charles Edward Kichere pamoja na watumishi wote wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wanaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha…

Read More

Washiriki wa Warsha wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali

Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Msemaji MKuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi wakati akiwasilisha mada ya Wajibu wa Wanahabari katika kuandika ripoti katika warsha  iliyofanyika katika ofisi ya Taifa ya…

Read More

Mafunzo ya ukaguzi wa miradi ya Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali yafunguliwa mkoani Singida

Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bi Wendy Massoy (mwenye  suti ya bluu katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya masuala ya ubia baina ya Serikali na Taasisi binafsi,mara…

Read More

Watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Bidii, Ueledi na Uadilifu

Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali imempokea Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bwana Charles Edward Kichere ambaye anachukua nafasi ya Profesa Mussa Juma Assad aliyemaliza muda…

Read More

Congratulation to the Appointed CAG, Mr. Charles Kichere

The Management and Staff of the National Audit Office (NAOT) join all Tanzanians in Congratulating Mr. Charles Kichere on his appointment as Controller and Auditor General (CAG).

Read More