
“There is no effective controls in the forestry sector…legal tree cutting accounts for only 4 per cent,” the CAG, Ludovick Utouh, told reporters here yesterday when he unveiled Performance Audit Report on the Management of Harvesting Forests by Ministry of Natural Resources and Tourism. Illegal forest harvesting is increasingly become a big problem, due to… Read the full article.
The Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York would like to make a few clarifications regarding the stories in the media on the appointment of Mr. Ludovick Utouh (pictured), Tanzania’s Controller and Auditor General to the United Nations Board of Auditors. First, the body which Mr. Utouh… Read the full article.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh amependekezwa na kupitishwa kwa kauli Moja kuwa Mjumbe wa Bodi ya wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa. Bw. Utouh amepitishwa na wajumbe wa Kamati ya Tano ya Utawala na Fedha ya Baraza Kuu la 66 la Umoja… Read the full article.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, akizungumza na waandishi wa habari juu ya ripoti ya ukaguzi maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga na matumizi ya matengenezo ya magari ya serikali aliyoiwasilisha bungeni Dodoma jana.PICHA: SELEMANI MPOCHI) Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amegundua madudu katika… Read the full article.
Audit Journal New Issue 2
Taarifa kwa vyombo vya habari kuhsu ufafanuzi wa Ripoti za CAG zilizochapishwa