
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh amewasilisha bungeni Ripoti za Hesabu zilizokaguliwa za Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma kwa Mwaka wa Fedha unaoishia Juni 30, 2010 na Ripoti za Ukaguzi wa Ufanisi na Utambuzi. Ripoti hizi zilizowasilishwa bungeni tarehe 12 Aprili 2011, ziliwasilishwa kwa… Read the full article.
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 – 25 Februari, 2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo haya yatafunguliwa Jumanne, Februari 22, 2011 na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna makinda katika… Read the full article.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick Utouh ameanza kukagua hesabu za mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2010. Hesabu hizi ziliwasilishwa na wizara, idara, wakala na taasisi mbalimbali za serikali katika ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali mwishoni mwa mwezi Septemba, mwaka huu. Aidha, ripoti za… Read the full article.