
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anapenda kuwaarifu wananchi wa Dodoma kuwa Mhe. Mizengo K. P. Pinda (MB) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa na zoezi la uwekaji wa jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) linalojengwa Mtaa wa Makore,… Read the full article.
Taarifa kwa vyombo vya habari kuhsu ufafanuzi wa Ripoti za CAG zilizochapishwa