
Katika kipindi cha miaka sita iliyopita (2006 hadi sasa) Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) chini ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CAG), Bw. Ludovick Utouh, kumekuwa na mafanikio makubwa katika uimarishaji wa mawasiliano kati ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na… Read the full article.
Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Ludovick S. L. Utouh, ziliwasilishwa bungeni tarehe 11 Aprili 2013. Ripoti hizi ni za ukaguzi wa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2012. Kwa mujibu wa ibara ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (iliyorekebishwa mara kwa mara) na kifungu… Read the full article.
This year’s CAG audit reports have been tabled in the Parliament of the United Republic of Tanzania on 11th April 2013 after being submitted to the President on 28th March 2013 as per Article 143 (4) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 and Section 34 (2) of the Public Audit… Read the full article.
The National Audit Office Tanzania (NAOT) and the Swedish National Audit Office (SNAO) in 26th February 2013 inked the third phase of National Audit Office Development Project (NAODP) to enhance the level of accountability, transparency and financial discipline in the use of public resources. The government of Tanzania (GoT), Swedish International Development Agency (SIdA) and… Read the full article.
The Controller and Auditor General (CAG) Mr. Ludovick S. L. Utouh praise the hard work done by the AFROSAI-E Peer Review for the betterment of his Office.
National Audit Office of Tanzania (NAOT) management team, listening to AFROSAI-E Peer Review presentation held at Dar es Salaam International Conference Center (DICC).
AFROSAI-E Peer Review Team discussing with Controller and Auditor General Mr. Ludovick S. L. Utouh after presenting their observations and recommendations to SAI Tanzania Management.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) wakijadiliana juu ya uboreshaji wa shughuli za Ofisi hiyo, wakati wa mapumziko baada ya Ufunguzi wa baraza hilo, lililofunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera.
National Audit Office of Tanzania (NAOT) is a Supreme Audit Institution (SAI) of the country headed by the Controller and Auditor General (CAG). Its mandate is enshrined under Article 143 of the Constitution of the United Republic of Tanzania. The powers and mandate of the CAG are clearly stipulated in Sections 11 and 12 of the Public… Read the full article.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S. L. Utouh amewataka wafanyakazi wake kudumisha mshikamano ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. Akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera, ili kufungua Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT)… Read the full article.