NAOT

  • utouh

    Clarifications on the appointment of Ludovick Utouh to the United Nations Board of Auditors.

    The Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York would like to make a few clarifications regarding the stories in the media on the appointment of Mr. Ludovick Utouh (pictured), Tanzania’s Controller and Auditor General to the United Nations Board of Auditors. First, the body which Mr. Utouh… Read the full article.

  • CAG-Ludovick-Utouh

    Ludovick Utouh apitishwa kuwa mjumbe wa bodi ya wakaguzi ya hesabu za Umoja wa Mataifa.

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh amependekezwa na kupitishwa kwa kauli Moja kuwa Mjumbe wa Bodi ya wakaguzi wa Hesabu za Umoja wa Mataifa. Bw. Utouh amepitishwa na wajumbe wa Kamati ya Tano ya Utawala na Fedha ya Baraza Kuu la 66 la Umoja… Read the full article.

  • Utoh(16)

    PMO, Ministry differ on forest management

    There are conflicting objectives between the Ministry of Natural Resources and Tourism and Prime Minister’s Office (Regional Administration and Local Government) in the management of forests, one of the factors holding back the sector, the Controller and Auditor General (CAG) has revealed. The CAG, Ludovick Utouh, pointed out the shortfall in his report entitled “Performance… Read the full article.

  • raic

    Miaka 50 ya Uhuru: Kutoka Ofisi ya Mkaguzi Mkoloni hadi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

    DESEMBA 9 mwaka huu, Tanganyika iliadhimisha miaka 50 ya uhuru wake huku kukiwa na mambo kadhaa ambayo idara kama za Serikali Kuu ziliandaa na kuonyesha. Kumbukumbu hiyo ya uhuru ilionyesha historia ya mambo mengi ambayo Watanzania wengi waliweza kujifunza na kuona. Lakini, zipo idara chache ambazo historia yake haikuwekwa wazi hasa kwa kizazi cha sasa… Read the full article.

  • tanzania-parliament

    Mafunzo ya kamati za hesabu za Bunge

    Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali (NAOT) imeandaa mafunzo ya siku tano kuanzia tarehe 21 – 25 Februari,       2011 kwa ajili ya kamati za hesabu za bunge zinazosimamia fedha za umma. Mafunzo haya yatafunguliwa Jumanne, Februari 22, 2011 na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna makinda katika ukumbi uliopo… Read the full article.